Native Bible

Proverbs 26:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika.

Proverbs 26:20 in English

Proverbs 26:20 · Berean Standard Bible

Without wood, a fire goes out; without gossip, a conflict ceases.

Context

18Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, 19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!” 20Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi. 22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.