Mithali 26:22
Proverbs 26:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu.
Proverbs 26:22 in English
Proverbs 26:22 · Berean Standard Bible
The words of a gossip are like choice morsels that go down into the inmost being.
Context
20Bila kuni moto huzimika;
pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto,
ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi. 22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu;
huingia sehemu za ndani sana za mtu. 23Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo
ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya. 24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake,
lakini moyoni mwake huficha udanganyifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.