Native Bible

Proverbs 26:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, lakini moyoni mwake huficha udanganyifu.

Proverbs 26:24 in English

Proverbs 26:24 · Berean Standard Bible

A hateful man disguises himself with his speech, but he lays up deceit in his heart.

Context

22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. 23Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya. 24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 25Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini, kwa maana machukizo saba hujaza moyo wake. 26Nia yake ya kudhuru wengine inaweza kufichwa na udanganyifu, lakini uovu wake utafichuliwa kwenye kusanyiko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.