Native Bible

Proverbs 26:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya.

Proverbs 26:23 in English

Proverbs 26:23 · Berean Standard Bible

Like glaze covering an earthen vessel are burning * lips and a wicked heart.

Context

21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi. 22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. 23Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya. 24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 25Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini, kwa maana machukizo saba hujaza moyo wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.