Native Bible

Proverbs 26:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha,

Proverbs 26:18 in English

Proverbs 26:18 · Berean Standard Bible

Like a madman shooting firebrands and deadly arrows,

Context

16Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. 17Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu. 18Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, 19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!” 20Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.