Native Bible

Proverbs 26:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.

Proverbs 26:16 in English

Proverbs 26:16 · Berean Standard Bible

The slacker is wiser in his own eyes than seven men who answer discreetly.

Context

14Kama vile mlango ugeukavyo kwenye bawaba zake, ndivyo mvivu ajigeuzavyo kitandani mwake. 15Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake. 16Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. 17Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu. 18Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.