Mithali 26:17
Proverbs 26:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu.
Proverbs 26:17 in English
Proverbs 26:17 · Berean Standard Bible
Like one who grabs a dog by the ears is a passerby who meddles in a quarrel not his own.
Context
15Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani,
naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake. 16Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe,
kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. 17Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio,
ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu. 18Kama mtu mwendawazimu
atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, 19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema,
“Nilikuwa nikifanya mzaha tu!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.