Native Bible

Proverbs 25:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha?

Proverbs 25:8 in English

Proverbs 25:8 · Berean Standard Bible

do not bring hastily to court. Otherwise, what will you do in the end when your neighbor puts you to shame?

Context

6Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme, wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu; 7ni afadhali yeye akuambie, “Njoo huku juu,” kuliko yeye kukuaibisha mbele ya mkuu. Kile ulichokiona kwa macho yako 8usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha? 9Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine, 10ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.