Native Bible

Proverbs 25:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ni afadhali yeye akuambie, “Njoo huku juu,” kuliko yeye kukuaibisha mbele ya mkuu. Kile ulichokiona kwa macho yako

Proverbs 25:7 in English

Proverbs 25:7 · Berean Standard Bible

for it is better that he says to you, “Come up here!” than that you should be demoted in the presence of the prince. Even what * you have seen with your own eyes,

Context

5Ondoa waovu mbele ya mfalme, nacho kiti chake cha enzi kitaimarishwa kwa njia ya haki. 6Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme, wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu; 7ni afadhali yeye akuambie, “Njoo huku juu,” kuliko yeye kukuaibisha mbele ya mkuu. Kile ulichokiona kwa macho yako 8usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha? 9Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.