Mithali 25:9
Proverbs 25:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,
Proverbs 25:9 in English
Proverbs 25:9 · Berean Standard Bible
Argue your case with your neighbor without betraying another’s confidence,
Context
7ni afadhali yeye akuambie, “Njoo huku juu,”
kuliko yeye kukuaibisha mbele ya mkuu.
Kile ulichokiona kwa macho yako 8usiharakishe kukipeleka mahakamani,
maana utafanya nini mwishoni
kama jirani yako atakuaibisha? 9Kama ukifanya shauri na jirani yako,
usisaliti siri ya mtu mwingine, 10ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha
na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka. 11Neno lisemwalo kwa wakati ufaao
ni kama matunda ya mtofaa ya dhahabu
yaliyowekwa kwenye vijalizo vya fedha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.