Native Bible

Proverbs 25:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka.

Proverbs 25:10 in English

Proverbs 25:10 · Berean Standard Bible

lest the one who hears may disgrace you, and your infamy never go away.

Context

8usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha? 9Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine, 10ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka. 11Neno lisemwalo kwa wakati ufaao ni kama matunda ya mtofaa ya dhahabu yaliyowekwa kwenye vijalizo vya fedha. 12Kama vile kipuli cha dhahabu au pambo la dhahabu safi, ndivyo lilivyo karipio la mtu mwenye hekima kwa sikio lisikilizalo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.