Mithali 24:7
Proverbs 24:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hekima i juu mno kwa mpumbavu, katika kusanyiko langoni hana lolote la kusema.
Proverbs 24:7 in English
Proverbs 24:7 · Berean Standard Bible
Wisdom is too high for a fool; he does not open his mouth in the meeting place.
Context
5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa,
naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, 6kwa kufanya vita unahitaji uongozi
na kwa ushindi washauri wengi. 7Hekima i juu mno kwa mpumbavu,
katika kusanyiko langoni
hana lolote la kusema. 8Yeye apangaye mabaya
atajulikana kama mtu wa hila. 9Mipango ya upumbavu ni dhambi,
watu huchukizwa na mwenye dhihaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.