Native Bible

Proverbs 24:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi.

Proverbs 24:6 in English

Proverbs 24:6 · Berean Standard Bible

Only with sound guidance should you wage war, and victory lies in a multitude of counselors.

Context

4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza. 5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, 6kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi. 7Hekima i juu mno kwa mpumbavu, katika kusanyiko langoni hana lolote la kusema. 8Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.