Native Bible

Proverbs 24:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza.

Proverbs 24:4 in English

Proverbs 24:4 · Berean Standard Bible

through knowledge its rooms are filled with every precious and beautiful treasure.

Context

2kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. 3Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa 4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza. 5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, 6kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.