Mithali 24:3
Proverbs 24:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa
Proverbs 24:3 in English
Proverbs 24:3 · Berean Standard Bible
By wisdom a house is built and by understanding it is established;
Context
1Usiwaonee wivu watu waovu,
usitamani ushirika nao; 2kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri,
nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. 3Kwa hekima nyumba hujengwa,
nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa 4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa
vitu vya thamani na vya kupendeza. 5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa,
naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.