Native Bible

Proverbs 24:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara.

Proverbs 24:2 in English

Proverbs 24:2 · Berean Standard Bible

for their hearts devise violence, and their lips declare trouble.

Context

1Usiwaonee wivu watu waovu, usitamani ushirika nao; 2kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. 3Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa 4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.