Native Bible

Proverbs 24:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila.

Proverbs 24:8 in English

Proverbs 24:8 · Berean Standard Bible

He who plots evil will be called a schemer.

Context

6kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi. 7Hekima i juu mno kwa mpumbavu, katika kusanyiko langoni hana lolote la kusema. 8Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila. 9Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka. 10Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.