Native Bible

Proverbs 24:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo!

Proverbs 24:10 in English

Proverbs 24:10 · Berean Standard Bible

If you faint in the day of distress, how small is your strength!

Context

8Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila. 9Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka. 10Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo! 11Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo; wazuie wote wanaojikokota kuelekea machinjoni. 12Kama mkisema, “Lakini hatukujua lolote kuhusu hili,” je, yule apimaye mioyo halitambui hili? Je, yule awalindaye maisha yenu halijui hili? Je, hatamlipa kila mtu kulingana na aliyotenda?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.