Native Bible

Proverbs 24:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka.

Proverbs 24:9 in English

Proverbs 24:9 · Berean Standard Bible

A foolish scheme is sin, and a mocker is detestable to men.

Context

7Hekima i juu mno kwa mpumbavu, katika kusanyiko langoni hana lolote la kusema. 8Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila. 9Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka. 10Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo! 11Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo; wazuie wote wanaojikokota kuelekea machinjoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.