Native Bible

Proverbs 24:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanangu, mche Bwana na mfalme, wala usijiunge na waasi,

Proverbs 24:21 in English

Proverbs 24:21 · Berean Standard Bible

My son, fear the LORD and the king, and do not associate with the rebellious.

Context

19Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya wala usiwaonee wivu waovu, 20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, nayo taa ya waovu itazimwa. 21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, wala usijiunge na waasi, 22kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao, naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta? 23Hii pia ni misemo ya wenye hekima: Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.