Mithali 24:20
Proverbs 24:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, nayo taa ya waovu itazimwa.
Proverbs 24:20 in English
Proverbs 24:20 · Berean Standard Bible
For the evil man has no future; the lamp of the wicked will be extinguished.
Context
18Bwana asije akaona na kuchukia
akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. 19Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya
wala usiwaonee wivu waovu, 20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo,
nayo taa ya waovu itazimwa. 21Mwanangu, mche Bwana na mfalme,
wala usijiunge na waasi, 22kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao,
naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.