Mithali 24:22
Proverbs 24:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao, naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta?
Proverbs 24:22 in English
Proverbs 24:22 · Berean Standard Bible
For they will bring sudden destruction. Who knows what ruin they can bring?
Context
20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo,
nayo taa ya waovu itazimwa. 21Mwanangu, mche Bwana na mfalme,
wala usijiunge na waasi, 22kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao,
naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta? 23Hii pia ni misemo ya wenye hekima:
Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: 24Yeyote amwambiaye mwenye hatia,
“Wewe huna hatia,”
Kabila zitamlaani
na mataifa yatamkana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.