Native Bible

Proverbs 24:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hii pia ni misemo ya wenye hekima: Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema:

Proverbs 24:23 in English

Proverbs 24:23 · Berean Standard Bible

These also are sayings of the wise: To show partiality in judgment is not good.

Context

21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, wala usijiunge na waasi, 22kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao, naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta? 23Hii pia ni misemo ya wenye hekima: Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: 24Yeyote amwambiaye mwenye hatia, “Wewe huna hatia,” Kabila zitamlaani na mataifa yatamkana. 25Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia, nazo baraka tele zitawajilia juu yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.