Mithali 24:25
Proverbs 24:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia, nazo baraka tele zitawajilia juu yao.
Proverbs 24:25 in English
Proverbs 24:25 · Berean Standard Bible
but it will go well with those who convict the guilty, and rich blessing will come upon them.
Context
23Hii pia ni misemo ya wenye hekima:
Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: 24Yeyote amwambiaye mwenye hatia,
“Wewe huna hatia,”
Kabila zitamlaani
na mataifa yatamkana. 25Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia,
nazo baraka tele zitawajilia juu yao. 26Jawabu la uaminifu
ni kama busu la midomoni. 27Maliza kazi zako za nje,
nawe uweke mashamba yako tayari,
baada ya hayo, jenga nyumba yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.