Native Bible

Proverbs 24:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jawabu la uaminifu ni kama busu la midomoni.

Proverbs 24:26 in English

Proverbs 24:26 · Berean Standard Bible

An honest answer given is like a kiss on the lips.

Context

24Yeyote amwambiaye mwenye hatia, “Wewe huna hatia,” Kabila zitamlaani na mataifa yatamkana. 25Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia, nazo baraka tele zitawajilia juu yao. 26Jawabu la uaminifu ni kama busu la midomoni. 27Maliza kazi zako za nje, nawe uweke mashamba yako tayari, baada ya hayo, jenga nyumba yako. 28Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu, au kutumia midomo yako kudanganya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.