Native Bible

Proverbs 24:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye.

Proverbs 24:18 in English

Proverbs 24:18 · Berean Standard Bible

or the LORD will see and disapprove, and turn His wrath away from him.

Context

16Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena, lakini waovu huangushwa chini na maafa. 17Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati ajikwaapo, usiruhusu moyo wako ushangilie. 18Bwana asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. 19Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya wala usiwaonee wivu waovu, 20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, nayo taa ya waovu itazimwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.