Mithali 24:19
Proverbs 24:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya wala usiwaonee wivu waovu,
Proverbs 24:19 in English
Proverbs 24:19 · Berean Standard Bible
Do not fret over evildoers, and do not be envious of the wicked.
Context
17Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo;
wakati ajikwaapo,
usiruhusu moyo wako ushangilie. 18Bwana asije akaona na kuchukia
akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. 19Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya
wala usiwaonee wivu waovu, 20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo,
nayo taa ya waovu itazimwa. 21Mwanangu, mche Bwana na mfalme,
wala usijiunge na waasi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.