Native Bible

Proverbs 24:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati ajikwaapo, usiruhusu moyo wako ushangilie.

Proverbs 24:17 in English

Proverbs 24:17 · Berean Standard Bible

Do not gloat when your enemy falls, and do not let your heart rejoice when he stumbles,

Context

15Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia makao ya mwenye haki, wala usiyavamie makazi yake, 16Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena, lakini waovu huangushwa chini na maafa. 17Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati ajikwaapo, usiruhusu moyo wako ushangilie. 18Bwana asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. 19Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya wala usiwaonee wivu waovu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.