Native Bible

Proverbs 23:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanangu, nipe moyo wako, macho yako na yafuate njia zangu,

Proverbs 23:26 in English

Proverbs 23:26 · Berean Standard Bible

My son, give me your heart, and let your eyes delight in my ways.

Context

24Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia. 25Baba yako na mama yako na wafurahi, mama aliyekuzaa na ashangilie! 26Mwanangu, nipe moyo wako, macho yako na yafuate njia zangu, 27kwa maana kahaba ni shimo refu na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. 28Kama mnyangʼanyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.