Mithali 23:25
Proverbs 23:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baba yako na mama yako na wafurahi, mama aliyekuzaa na ashangilie!
Proverbs 23:25 in English
Proverbs 23:25 · Berean Standard Bible
May your father and mother be glad, and may she who gave you birth rejoice!
Context
23Nunua kweli wala usiiuze,
pata hekima, adabu na ufahamu. 24Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa,
naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia. 25Baba yako na mama yako na wafurahi,
mama aliyekuzaa na ashangilie! 26Mwanangu, nipe moyo wako,
macho yako na yafuate njia zangu, 27kwa maana kahaba ni shimo refu
na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.