Native Bible

Proverbs 23:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia.

Proverbs 23:24 in English

Proverbs 23:24 · Berean Standard Bible

The father of a righteous man will greatly rejoice, and he who fathers a wise son will delight in him.

Context

22Msikilize baba yako, aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. 23Nunua kweli wala usiiuze, pata hekima, adabu na ufahamu. 24Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia. 25Baba yako na mama yako na wafurahi, mama aliyekuzaa na ashangilie! 26Mwanangu, nipe moyo wako, macho yako na yafuate njia zangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.