Native Bible

Proverbs 23:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msikilize baba yako, aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee.

Proverbs 23:22 in English

Proverbs 23:22 · Berean Standard Bible

Listen to your father who gave you life, and do not despise your mother when she is old.

Context

20Usiwe miongoni mwa wanywao mvinyo, au wale walao nyama kwa pupa, 21kwa maana walevi na walafi huwa maskini, nako kusinzia huwavika matambara. 22Msikilize baba yako, aliyekuzaa, wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. 23Nunua kweli wala usiiuze, pata hekima, adabu na ufahamu. 24Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.