Mithali 23:20
Proverbs 23:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiwe miongoni mwa wanywao mvinyo, au wale walao nyama kwa pupa,
Proverbs 23:20 in English
Proverbs 23:20 · Berean Standard Bible
Do not join those who drink too much wine or gorge themselves on meat.
Context
18Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako,
nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali. 19Sikiliza, mwanangu na uwe na hekima,
weka moyo wako kwenye njia iliyo sawa. 20Usiwe miongoni mwa wanywao mvinyo,
au wale walao nyama kwa pupa, 21kwa maana walevi na walafi huwa maskini,
nako kusinzia huwavika matambara. 22Msikilize baba yako, aliyekuzaa,
wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.