Native Bible

Proverbs 23:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanangu, kama moyo wako una hekima, basi moyo wangu utafurahi,

Proverbs 23:15 in English

Proverbs 23:15 · Berean Standard Bible

My son, if your heart is wise, my own heart will indeed rejoice.

Context

13Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 14Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.* 15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, basi moyo wangu utafurahi, 16utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa. 17Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.