Native Bible

Proverbs 23:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Bwana.

Proverbs 23:17 in English

Proverbs 23:17 · Berean Standard Bible

Do not let your heart envy sinners, but always continue in the fear of the LORD.

Context

15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, basi moyo wangu utafurahi, 16utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa. 17Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Bwana. 18Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako, nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali. 19Sikiliza, mwanangu na uwe na hekima, weka moyo wako kwenye njia iliyo sawa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.