Mithali 23:16
Proverbs 23:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa.
Proverbs 23:16 in English
Proverbs 23:16 · Berean Standard Bible
My inmost being * will rejoice when your lips speak what is right.
Context
14Mwadhibu kwa fimbo
na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.* 15Mwanangu, kama moyo wako una hekima,
basi moyo wangu utafurahi, 16utu wangu wa ndani utafurahi,
wakati midomo yako
itakapozungumza lililo sawa. 17Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi,
bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Bwana. 18Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako,
nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.