Native Bible

Proverbs 23:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.*

Proverbs 23:14 in English

Proverbs 23:14 · Berean Standard Bible

Strike him with a rod, and you will deliver his soul from Sheol.

Context

12Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa. 13Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 14Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.* 15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, basi moyo wangu utafurahi, 16utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.