Native Bible

Proverbs 23:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa.

Proverbs 23:12 in English

Proverbs 23:12 · Berean Standard Bible

Apply your heart to instruction and your ears to words of knowledge.

Context

10Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima, 11kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu, atalichukua shauri lao dhidi yako. 12Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa. 13Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 14Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.