Native Bible

Proverbs 23:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu, atalichukua shauri lao dhidi yako.

Proverbs 23:11 in English

Proverbs 23:11 · Berean Standard Bible

for their Redeemer is strong; He will take up their case against you.

Context

9Usizungumze na mpumbavu, kwa maana atadhihaki hekima ya maneno yako. 10Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima, 11kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu, atalichukua shauri lao dhidi yako. 12Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa. 13Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.