Native Bible

Proverbs 23:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usizungumze na mpumbavu, kwa maana atadhihaki hekima ya maneno yako.

Proverbs 23:9 in English

Proverbs 23:9 · Berean Standard Bible

Do not speak to a fool, for he will despise the wisdom of your words.

Context

7kwa maana yeye ni aina ya mtu ambaye kila mara anafikiri juu ya gharama. Anakuambia, “Kula na kunywa,” lakini moyo wake hauko pamoja nawe. 8Utatapika kile kidogo ulichokula, nawe utakuwa umepoteza bure maneno yako ya kumsifu. 9Usizungumze na mpumbavu, kwa maana atadhihaki hekima ya maneno yako. 10Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima, 11kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu, atalichukua shauri lao dhidi yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.