Mithali 23:10
Proverbs 23:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima,
Proverbs 23:10 in English
Proverbs 23:10 · Berean Standard Bible
Do not move an ancient boundary stone or encroach on the fields of the fatherless,
Context
8Utatapika kile kidogo ulichokula,
nawe utakuwa umepoteza bure
maneno yako ya kumsifu. 9Usizungumze na mpumbavu,
kwa maana atadhihaki hekima ya maneno yako. 10Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani
wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima, 11kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu,
atalichukua shauri lao dhidi yako. 12Elekeza moyo wako kwenye mafundisho
na masikio yako kwenye maneno ya maarifa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.