Mithali 23:13
Proverbs 23:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa.
Proverbs 23:13 in English
Proverbs 23:13 · Berean Standard Bible
Do not withhold discipline from a child; although you strike him with a rod, he will not die.
Context
11kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu,
atalichukua shauri lao dhidi yako. 12Elekeza moyo wako kwenye mafundisho
na masikio yako kwenye maneno ya maarifa. 13Usimnyime mtoto adhabu,
ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 14Mwadhibu kwa fimbo
na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.* 15Mwanangu, kama moyo wako una hekima,
basi moyo wangu utafurahi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.