Native Bible

Proverbs 21:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake hujilinda na maafa.

Proverbs 21:23 in English

Proverbs 21:23 · Berean Standard Bible

He who guards his mouth and tongue keeps his soul from distress.

Context

21Yeye afuatiaye haki na upendo hupata uzima, mafanikio na heshima. 22Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, na kuangusha ngome wanazozitegemea. 23Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake hujilinda na maafa. 24Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake; hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi. 25Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.