Native Bible

Proverbs 21:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, na kuangusha ngome wanazozitegemea.

Proverbs 21:22 in English

Proverbs 21:22 · Berean Standard Bible

A wise man scales the city of the mighty and pulls down the stronghold in which they trust.

Context

20Katika nyumba ya mwenye hekima kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, lakini mtu mpumbavu hutafuna vyote alivyo navyo. 21Yeye afuatiaye haki na upendo hupata uzima, mafanikio na heshima. 22Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, na kuangusha ngome wanazozitegemea. 23Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake hujilinda na maafa. 24Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake; hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.