Mithali 21:24
Proverbs 21:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake; hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi.
Proverbs 21:24 in English
Proverbs 21:24 · Berean Standard Bible
Mocker is the name of the proud and arrogant man— of him who acts with excessive pride.
Context
22Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu,
na kuangusha ngome wanazozitegemea. 23Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake
hujilinda na maafa. 24Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake;
hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi. 25Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake,
kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. 26Mchana kutwa hutamani zaidi,
lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.