Native Bible

Proverbs 21:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi.

Proverbs 21:25 in English

Proverbs 21:25 · Berean Standard Bible

The craving of the slacker kills him because his hands refuse to work.

Context

23Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake hujilinda na maafa. 24Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake; hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi. 25Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. 26Mchana kutwa hutamani zaidi, lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia. 27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.