Native Bible

Proverbs 21:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya!

Proverbs 21:27 in English

Proverbs 21:27 · Berean Standard Bible

The sacrifice of the wicked is detestable— how much more so when brought with ill intent!

Context

25Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. 26Mchana kutwa hutamani zaidi, lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia. 27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 28Shahidi wa uongo ataangamia, bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. 29Mtu mwovu ana uso wa ushupavu, bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.