Mithali 21:28
Proverbs 21:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shahidi wa uongo ataangamia, bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu.
Proverbs 21:28 in English
Proverbs 21:28 · Berean Standard Bible
A lying witness will perish, but the man who listens to truth will speak forever.
Context
26Mchana kutwa hutamani zaidi,
lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia. 27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo,
si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 28Shahidi wa uongo ataangamia,
bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. 29Mtu mwovu ana uso wa ushupavu,
bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake. 30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango
unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.