Native Bible

Proverbs 21:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna hekima, wala akili, wala mpango unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana.

Proverbs 21:30 in English

Proverbs 21:30 · Berean Standard Bible

There is no wisdom, no understanding, no counsel that can prevail against the LORD.

Context

28Shahidi wa uongo ataangamia, bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. 29Mtu mwovu ana uso wa ushupavu, bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake. 30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 31Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita, bali ushindi huwa kwa Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.