Mithali 21:29
Proverbs 21:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mwovu ana uso wa ushupavu, bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake.
Proverbs 21:29 in English
Proverbs 21:29 · Berean Standard Bible
A wicked man hardens his face,* but the upright man makes his way sure.
Context
27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo,
si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 28Shahidi wa uongo ataangamia,
bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. 29Mtu mwovu ana uso wa ushupavu,
bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake. 30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango
unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 31Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita,
bali ushindi huwa kwa Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.